Fahamu Jinsi Ya Kuweka Android 4.4.4 (Kitkat) Kwenye Huawei Y300

Watu wengi wanaotumia simu ya huawei Y300 wamekuwa wakitaka kutumia android 4.4.4 Kitkat kwenye simu zao lakini imekuwa ni ndoto kwao kw...


Watu wengi wanaotumia simu ya huawei Y300 wamekuwa wakitaka kutumia android 4.4.4 Kitkat kwenye simu zao lakini imekuwa ni ndoto kwao kwakua huawei haijatoa official update ya Android 4.4.4 kitkat kwenye huawei Y300.

Kutoka na hilo basi leo nitatoa malekezo jinsi ya kuweka custom Rom ambayo itakupa uwezo wa kutumia android 4.4.4 kitkat kwenye huawei Y300.


Slim Kat Rom ndio rom ambayo ntaiweka kwenye huawei Y300.

VIGEZO NA MASHARTI.


1:HATUTAHUSIKA ENDAPO WEWE UTAHARIBU SIMU YAKO

2: UELEWA WA COMPUTER UNATAJIKA

3: SOMA MAELEKEZO KWA UMAKIMI KABLA UJAJARIBI KWENYE SIMU YAKO

JINSI YA KUWEKA ANDROID 4.4.4 KITKAT KWENYE HUAWEI Y300

STEP 1
Hakikisha simu yako ni Huawei Y300 na sio vinginevyo.

STEP 2
Hakikisha simu yako tayari imekuwa rooted, bootloader imekuwa unlocked na una custom recovery kwenye simu yako. Kama bado tembelea link chini kwa msaada zaidi.
http://jabitech.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-ku-root-huawei-y300-na-unlock.html

STEP 3
Download Slim Kat Rom kwa kutumia link chini kisha liweke hilo file kwenye memory card ya simu yako. Liweke file kama lilivyo. Usilifungue.
https://s.basketbuild.com/filedl/devs?dev=chil360&dl=chil360/u8833/SlimKat/Slim-u8833-4.4.4.build.9.0-UNOFFICIAL-20150925-1610.zip

STEP 4
Download Pa Gapps kwa kutumia link chini kisha liweke hilo file kwenye memory card ya simu yako. Liweke file kama lilivyo. Usilifungue
https://s.basketbuild.com/devs/TKruzze/Android%204.4.4%20GApps/Full-Modular%20GApps/ 


STEP 5
Download Google Keyboard kwa kutumia link chini kisha liweke hilo file kwenye memory card yako.
https://www.dropbox.com/s/6s33ur1bezlvo5f/Google%20Keyboard.apk?dl=0

STEP 6
Zima simu yako. Subiri kama secunde 5 kisha tazama video chini jinsi ya kuendelea.



STEP 7 

Baada ya simu yako kuwaka hakikisha una skip every step kwa sababu google keyboard itakuwa haifanyi kazi. Kwa kutumia File explorer iliyoko kwenye simu nenda kwenye memory card kisha install google keyboard ambayo uliiweka kwenye memory card kwenye Step 4. Kama bado rudia Step 4.

Endapo utashindwa na utahitaji msaada  kuhusiana na tatizo lolote kwenye simu yako ya andorid basi wasiliana nasi kwa kutumia WhatsApp namba +255 713 515 059. Pia unaweza ku-like Facebook Page yetu iitwayo JaBi Technologies

COMMENTS

Name

COMPUTER TIPS,8,IT Darasa,1,Makala,1,Maujanja ya Simu,22,Teknolojia,4,
ltr
item
WaiTech IT Solutions: Fahamu Jinsi Ya Kuweka Android 4.4.4 (Kitkat) Kwenye Huawei Y300
Fahamu Jinsi Ya Kuweka Android 4.4.4 (Kitkat) Kwenye Huawei Y300
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjeV9VrYeSwBZbjZgaRI9J9Sr3P9ZwCpF7aH3dB8e46H3RwruQcvtYBfIpeZH2hfVOM2rXs4IITsT2ahCOaMV-JoFqFBt8DyDRY-48vQfSHYN2ZYTLsq7jTwxfXscb7vKV6jQIJ08Ex1oaV/s1600/Huawei-Y300-Philippines.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjeV9VrYeSwBZbjZgaRI9J9Sr3P9ZwCpF7aH3dB8e46H3RwruQcvtYBfIpeZH2hfVOM2rXs4IITsT2ahCOaMV-JoFqFBt8DyDRY-48vQfSHYN2ZYTLsq7jTwxfXscb7vKV6jQIJ08Ex1oaV/s72-c/Huawei-Y300-Philippines.jpg
WaiTech IT Solutions
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/fahamu-jinsi-ya-kuweka-android-444.html
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/fahamu-jinsi-ya-kuweka-android-444.html
true
6135567013369675355
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy