Hios, Mfumo Mpya Wa Tecno.. Hiki Ndicho Unachopaswa Kukijua Kuhusu Mfumo Huo.

Tecno wameanzisha mfumo wao mpya ambao utakuwa unawekwa kwenye simu zao ili kuzifanya ziwe na muonekano mzuri kama ili...



















Tecno wameanzisha mfumo wao mpya ambao utakuwa unawekwa kwenye simu zao ili kuzifanya ziwe na muonekano mzuri kama ilivyo kwenye Samsung, Lg, Huawei etc. Tecno wanasema HIOS ni a brand tailored version optimizing user experience of Android Operating System. Ili kuelewa zaidi kitu Tecno wanachofanya ni kutengeneza muonekano wao wa kipee kama ilivyo Samsung-touchwiz, HTC-Sense, Huawei-Emotion Ui, Xiaomi-Miui.
Tecno C8 ndio simu itakayo anza kutumia mfumo huu mpya.

MAMBO YALIYOPO KWENYE MFUMO MPYA WA TECNO "HIOS"

QUICK CAMERA ACTIVATION

Hios inarahisisha kuwasha camera kwa haraka zaidi pale simu yako inapokuwa ipo kwenye lockscreen. Unachotakiwa kufanya ni kuipeleka ishara ya camera juu kisha camera itaanza kufanya kazi bila kuchelewa.


EASY WALLPAPER SWIPE 

Hii ni njia itakayo kuwezesha kubadilisha picha ya wallpaper kwa haraka zaidi ili kuipa simu yako muonekano tofauti 

SIMPLE APP MANAGER

Kama ilivyo kwenye simu nyingine za android, simple app manager itakuwezesha kuamisha apps na kuzipeleka kwenye home screen au popote pale unapotaka kupangilia apps zako


PERSONALIZED PHOTO ASSISTANT

Kwa wale wanaopenda kupiga picha sasa Tecno wanawaletea Personalized Photo Assistant. Hii itakusaidia ku edit picha zako na kuzifanya ziwe nzuri na zenye mvuto.


RACK MEMORY USAGE

Kwenye Hios utaweza kuangalia jinsi apps zinavyotumia RAM ya simu yako. Hii ni jambo zuri maana utakuwa una uwezo wa kujua ni app ipi inatumia memory sana hivyo utakuwa na uwezo wa kufanya simu yako ifanye kazi kwa upesi zaidi kazi.


Hi THEME

Hi Theme ni njia itakayo kuwezesha kubadilisha muonekano mzima wa simu yako kwa hara zaidi. Hi Theme itakuwa ni sehemu ambayo itakuwa na themes mbalimbali ambazo utaweza kuzi download na kuziweka kwenye simu yako ili kupata muonekano wa kipekee.


Hi-FONTS

Hi-Fonts ni njia itakayo kuwezesha kubadili mfumo au muonekano wa maneno kwenye simu yako.


POP INCOMING CALL

Pop Incoming Call ni mfumo ambao upo sanaa kwenye simu za samsung. Sasa Tecno wanaileta kwenye simu zao. Hii ina maanisha utaweza kuendelea na kitu unachofanya hata pale utakapo pigiwa simu


Hi MANAGER

Hi manager ni app ambayo itakusaidia kusafisha simu yako, kutoa apps ambazo zinasababisha simu yako isifanye kazi inavyopaswa.



Mpaka hapo tumefika mwisho na kama unataka kuendelea kupata habari kuhusiana na teknolojia ya simu, ungana nasi kwa ku like Facebook Page yetu iitwayo JaBi Technologies

COMMENTS

Name

COMPUTER TIPS,8,IT Darasa,1,Makala,1,Maujanja ya Simu,22,Teknolojia,4,
ltr
item
WaiTech IT Solutions: Hios, Mfumo Mpya Wa Tecno.. Hiki Ndicho Unachopaswa Kukijua Kuhusu Mfumo Huo.
Hios, Mfumo Mpya Wa Tecno.. Hiki Ndicho Unachopaswa Kukijua Kuhusu Mfumo Huo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj6_oMzosD55i4tpwrHYRmbzVlooX9qj6ES22YbXNJN-eSRuH5CpBHPIzm_feEZCLyOyUfExdlbsO7HgtgWfDQIqCxg3TddnQAU2qEMPqaJkLQgNfOOwVvi60D_Pq0IPmX6aETL98iFHgW1/s640/hios.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj6_oMzosD55i4tpwrHYRmbzVlooX9qj6ES22YbXNJN-eSRuH5CpBHPIzm_feEZCLyOyUfExdlbsO7HgtgWfDQIqCxg3TddnQAU2qEMPqaJkLQgNfOOwVvi60D_Pq0IPmX6aETL98iFHgW1/s72-c/hios.png
WaiTech IT Solutions
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/hios-mfumo-mpya-wa-tecno-hiki-ndicho.html
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/hios-mfumo-mpya-wa-tecno-hiki-ndicho.html
true
6135567013369675355
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy