Jinsi Ya Kubadilisha Bootanimation Kwenye Huawei Y300

Bootanimation ni ule muonekano ambao unaonekana pale unapowasha simu yako. Makampuni ya simu kama Samsung, HTC, Huawei, Sony hupendelea ...

Bootanimation ni ule muonekano ambao unaonekana pale unapowasha simu yako. Makampuni ya simu kama Samsung, HTC, Huawei, Sony hupendelea kuweka majina yao pale simu inapowaka.

Kama wewe unatumia Huawei Y300, leo ntakuonyesha jinsi ya kubadili bootanimation na kuweka muonekano mwingine pale simu yako inapowaka.


VIGEZO NA MASHARTI.

1: HATUTAHUSIKA ENDAPO UTAHARIBU SIMU YAKO

2: UELEWA WA COMPUTER UNATAJIKA

3: SOMA MAELEKEZO KWA UMAKIMI KABLA UJAJARIBI KWENYE SIMU YAKO

JINSI YA KUBADILISHA BOOTANIMATION KWENYE HUAWEI Y300

STEP 1
Hakikisha ume root simu yako ya huawei y300. Kama bado, tembelea link chini na utapata maelekezo jinsi ya kuroot huawei y300
http://jabitech.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-ku-root-huawei-y300-na-unlock.html

STEP 2
Hakikisha unatumia rom ya slim kat kwenye simu yako. Kama bado, tembelea link chini ili kujua jinsi ya kuweka slim kat rom
http://jabitech.blogspot.com/2016/10/fahamu-jinsi-ya-kuweka-android-444.html

STEP 3
Download bootanimation.zip kwa kutumia link chini kisha lihifadhi hilo file kwenye internal memory ya simu yako na sio kwenye memory card.
https://www.dropbox.com/s/3g7o8x3897nsjey/bootanimation.zip?dl=0

STEP 4
Tazama video chini jinsi ya kuendelea


Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kubadilisha bootanimation kwenye huawei y300. 

Endapo utashindwa na utahitaji msaada  kuhusiana na tatizo lolote kwenye simu yako ya andorid basi wasiliana nasi kwa kutumia WhatsApp namba +255 713 515 059. Pia unaweza ku-like Facebook Page yetu iitwayo JaBi Technologies

COMMENTS

Name

COMPUTER TIPS,8,IT Darasa,1,Makala,1,Maujanja ya Simu,22,Teknolojia,4,
ltr
item
WaiTech IT Solutions: Jinsi Ya Kubadilisha Bootanimation Kwenye Huawei Y300
Jinsi Ya Kubadilisha Bootanimation Kwenye Huawei Y300
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj85JfX8EnKS5gVHoQ1QOjAFcFGJyP5gFcK5ZBoSVpFt4Vhw126-jN0anc8bZor66sli665lzfdmDuZ9-tKegU3943PZXUYVm5V-jTrGVz8MBEHVbRWSCMedFPRmpQgmZGCxMaMhgnKuOis/s1600/huawei.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj85JfX8EnKS5gVHoQ1QOjAFcFGJyP5gFcK5ZBoSVpFt4Vhw126-jN0anc8bZor66sli665lzfdmDuZ9-tKegU3943PZXUYVm5V-jTrGVz8MBEHVbRWSCMedFPRmpQgmZGCxMaMhgnKuOis/s72-c/huawei.jpg
WaiTech IT Solutions
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-kubadilisha-bootanimation.html
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-kubadilisha-bootanimation.html
true
6135567013369675355
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy