Jifunze Jinsi Ya Kutengeneza Android Application..( Sehemu ya Pili)

Android ni mfumo (operating system) ambao ni maarafu sana kwa kuwa umefanikiwa kutumiwa kwenye vyombo vya kielectroniki kama simu, s...


Android ni mfumo (operating system) ambao ni maarafu sana kwa kuwa umefanikiwa kutumiwa kwenye vyombo vya kielectroniki kama simu, saa, tv, laptops, tablet na hata kwenye magari ya kisasa pia utakuta android.

Kwa wale ambao walikosa part one ya hili somo basi unaweza kutembelea link chini ili uweze kujua nini tulijifunza kwenye part one, tembelea link hii http://jabitech.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-kutengeneza-android-application.html

Leo tutajifunza jinsi ya kuakikisha computer yako ya window ipo tayari kabisa kuanza kutengeneza android app. Computer yako inatakiwa iwe na program mbili ambazo ni Java pamoja na Android Studio


JavaSe (Java Development Kit)

programming language ambayo inatumika kutengeneza Android app ni Oracle’s Java SE. Java SE ilitengenezwa na Sun Microsystems na baadae ikanunuliwa na Oracle. Zipo aina tatu za Java. Kuna Java EE (Java Enterprise Edition) ambayo hii hutumika kwenye network ya macomputer makubwa. Halafu kuna Java ME (Java Micro Edition) ambayo utumika kutengeneza mobile application. Java SE ina uwezo mkubwa kuliko Java ME na ndio inatumiwa na Google kutengeneza Android Os.

Ili kuweza kuweka JavaSe (Java Development Kit) kwenye computer yako unatakiwa kutembelea link chini kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa Java download.
http://www.oracle.com/technetwork/java/javase/downloads/index.html




Baada ya kubonyeza download utapata muonekano kama picha chini kisha chagua unatumia aina gani ya window (64bit or 32bit) kisha kubali Accept License Agreement za oracle halafu utaanza ku download




Baada ya kumaliza ku-download, install Java Se kwenye computer yako.

Android Studio

Android Studio ndio program inayotumia kama IDE (integrated development environment). Inamaanisha kwamba shughuli nzima ya kutengeneza android app, kuijaribu na hata kuiweka kwenye playstore itafanyikia kwenye android studio. Android Studio imetengenezwa na Google ili kurahisisha shughuli za ku design android app. Unaweza download android studio kwa kutumia link chini kisha install kwenye computer yako
https://developer.android.com/studio/index.html



Kwa leo tutaishia hapa, muda mwingine tutajifunza jinsi ya kuanza kutumia Android Studio pamoja na jinsi ya kutengeneza android app.  


Kama umependa kazi zetu na unataka tuzidi kusonga mbele basi usiache kutu like facebook page yetu  yenye jina la JaBi Technologies

COMMENTS

Name

COMPUTER TIPS,8,IT Darasa,1,Makala,1,Maujanja ya Simu,22,Teknolojia,4,
ltr
item
WaiTech IT Solutions: Jifunze Jinsi Ya Kutengeneza Android Application..( Sehemu ya Pili)
Jifunze Jinsi Ya Kutengeneza Android Application..( Sehemu ya Pili)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVoA_wK4tS5mP6PHkxVYxQRbIdnEe1HRaspQv7_vPqjtFER1sUuLNYaS0iWRu4RHQIFx1n_lh5ryoqLCvyDLmC7euG4toNvq-1sttq63HnQtdQrzBZPSccsc7xkvl4EZT68HLdSkpLC8ga/s1600/Studio1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVoA_wK4tS5mP6PHkxVYxQRbIdnEe1HRaspQv7_vPqjtFER1sUuLNYaS0iWRu4RHQIFx1n_lh5ryoqLCvyDLmC7euG4toNvq-1sttq63HnQtdQrzBZPSccsc7xkvl4EZT68HLdSkpLC8ga/s72-c/Studio1.jpg
WaiTech IT Solutions
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-kutengeneza-android.html
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-kutengeneza-android.html
true
6135567013369675355
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy