Jinsi Ya Ku Root Tecno Y3+ Kwa Kutumia Computer

Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta jinsi ya ku root Tecno Y3+ ambazo zimekuwa zikuuzwa na kampuni ya Tigo. Leo tutaona jinsi ya ...


Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta jinsi ya ku root Tecno Y3+ ambazo zimekuwa zikuuzwa na kampuni ya Tigo. Leo tutaona jinsi ya Ku root Tecno Y3+ kwa kutumia computer. 

Tecno Y3+ imefanikiwa kuwa rooted kwa kutumia computer pamoja na program ya Kingo Root. Soma maelekezo chini ili kujua jinsi ya ku root Tecno Y3+

JINSI YA KU ROOT TECNO Y3+ KWA KUTUMIA COMPUTER

Vigezo na Masharti

  • 1: Hatutahusika endapo utaaribu simu yako
  • 2: Hakikisha simu yako ni Tecno Y3+
  • 3: Computer inayotumia windows
  • 4: Hakikisha simu yako ina charge kuanzia 70%
  • 5: Hakikisha umeweka vcom driver kwenye computer yako
  • 6: Soma maelekezo yote kwa makini kisha ndio ujaribu kwenye simu yako

STEP 1

Hakikisha tayari umeweka vcom driver kwenye computer yako inayo tumia windows kama bado tembelea link chini kujia jinsi ya kuweka vcom driver kwenye computer yako
https://thebroodle.com/microsoft/windows/how-to-install-mtk65xx-preloader-usb-vcom-drivers-in-windows/

STEP 2

Download Kingo Root kwa kutumia link chini kisha install kwenye computer yako.
https://www.kingoapp.com/android-root/download.htm

STEP 3

Kwenye simu yako ya Tecno Y3+, hakikisha usb debugging ipo On. Kama hujui usb debugging inapatikana wapi kwenye basi nenda kwenye Settings kisha nenda kwenye kipengele cha Developer Options halafu utaona kipengele cha Usb Debugging.

STEP 4

Fungua Kingo Root kwenye computer yako kisha chomeka usb kwenye simu yako halafu chomeka kwenye computer. Endapo utakuwa umefwata maelekezo vizuri basi utapata muonekano kama picha kwenye computer yako


STEP 5

Bonyeza(click) sehemu iliyoandikwa Root kwenye computer yako kisha subiri mpaka utakapopata ujumbe kama kwenye picha chini



Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa ku root simu yako ya Tecno Y3+. Kwa wale wenye shida zozote kuhusu simu zao unaweza kuwasiliana nasi kupitia whatsapp +255 767 515 059.

Kama umependa kazi zetu na unataka tuzidi kusonga mbele basi usiache kutu like facebook page yetu  yenye jina la JaBi Technologies

COMMENTS

Name

COMPUTER TIPS,8,IT Darasa,1,Makala,1,Maujanja ya Simu,22,Teknolojia,4,
ltr
item
WaiTech IT Solutions: Jinsi Ya Ku Root Tecno Y3+ Kwa Kutumia Computer
Jinsi Ya Ku Root Tecno Y3+ Kwa Kutumia Computer
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihDfAbOjaecUvVzUXFevYcmBNPf8_g2amP2Iet5DMzXmHdmEw9eg9j-KPxgUjVbQtID8i5yD0XgHvWamkkNFJKCbemr64eShZ2KoVdK2KjKylxjP1G2UTl19VjCm3nO7GxVMvm5ZE_UnYy/s640/Tecno+Y3.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEihDfAbOjaecUvVzUXFevYcmBNPf8_g2amP2Iet5DMzXmHdmEw9eg9j-KPxgUjVbQtID8i5yD0XgHvWamkkNFJKCbemr64eShZ2KoVdK2KjKylxjP1G2UTl19VjCm3nO7GxVMvm5ZE_UnYy/s72-c/Tecno+Y3.JPG
WaiTech IT Solutions
https://waitechs.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-ku-root-tecno-y3-kwa-kutumia.html
https://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-ku-root-tecno-y3-kwa-kutumia.html
true
6135567013369675355
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy