Programs 10 Kali Za Kutengeneza Video

Leo ningependa kubadilishana mawazo na wewe mdau wetu ambaye unapenda ku edit au kutengeneza video. Ninajua unajua kwamba ku edit v...




Leo ningependa kubadilishana mawazo na wewe mdau wetu ambaye unapenda ku edit au kutengeneza video. Ninajua unajua kwamba ku edit video ni sanaa, na inahitaji kipaji kwa nafasi yake. Hata hivyo software au programu ni muhimu sana na huchukua asilimia kubwa sana katika kufanikisha project yako.

Kumbuka programu nyingi  zimetengenezwa na makampuni kwa ajili ya kuuza/biashara hivyo itabidi ununue, TULIA!! unaweza kupata programu hizo za kuuzwa, BURE pia ingawa ni kwa njia zisizo halali kama kudownload kwa kutumia Utorrent, (maelezo zaidi baadae)

Sasa kama una malengo ya kutengeneza 'BLOCKBUSTER' movie au video ya harusi au jambo lolote lile, hizi ni programu kali zaidi za ku edit video. 

1. Adobe After Effects
Mfalme wa filamu, ukipenda kuiita hivyo programu hii. Hutumiwa na ma editor wa filau kali duniani kwa sababu ya uwezo wake mkubwa wa kufanya visual effects. Hutumika zaidi katika vyombo vya habari wakati wa kuandaa na kuwasilisha taarifa ya habari.



2. Cyberlink PowerDirector 



3. Corel Video Studio Pro X



4. Adobe Premiere Elements




5. Sony Vegas



Programu tano zilizopita ni bora sana. Lakini zote ni kwa ajili ya biashara. Kama nilivyokueleza unaweza kutumia Utorrent au website nyingine ili kupata downloads hizo bure, usisite ku shea na sisi kama unajua nyingine. Programu hizi zifuatazo ni bure kabisaaaa. Lakini nazo bado ni kali pia.

6. LightWorks.

Ukiwa na Lightworks una uhakika wa kufanya mambo mengi. Ni programu ambayo imeboreshwa kwa ajili ya kukupatia wewe matokeo ya kupendeza sana. Moja kati ya faida zake ni kwamba inweza kufanya kazi sehemu ambayo ingekulazimu kutumia programu ghali kama Premiere. Ni ngumu kiasi hivyo usisite kutizama video hizi kujiweka sawa.

7. VSDC FreeVideo Editor




8. Avidemux




9. Virtual Dub



10. Blender



Imenilazimu kuandaa list hii haraka kwani walikuwepo watu watano au zaidi waliokuwa waki search program za kutengeneza video. Usijali, na ninaomba radhi lakini nitakuwekea link za kudownload programu zote hizi hivi karibuni ila kwa sasa, Search tu google kwa ajili ya ku download.
Asante kwa kuonesha upendo wa pekee.

Kwa kendelea kupata habari zaidi kuhusiana na Teknolojia mbalimbali, ungana nasi kwa  ku -like facebook Page yetu JaBi Technologies.

COMMENTS

Name

COMPUTER TIPS,8,IT Darasa,1,Makala,1,Maujanja ya Simu,22,Teknolojia,4,
ltr
item
WaiTech IT Solutions: Programs 10 Kali Za Kutengeneza Video
Programs 10 Kali Za Kutengeneza Video
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgophwB6xd1r7ccWWSc7Bkm2Q-oMs4lyiGWfoipsUBX0aQXet9fkPRbe6-7_su6Dn-XBZs5PfjX5u_cnFoXCXMmat8tv6ruKgGAsDOsh-jJ1g1tOtGEF7hl7P0KTidabEsf3HVsFxPjhQ/s1600/programu+10+kali.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgophwB6xd1r7ccWWSc7Bkm2Q-oMs4lyiGWfoipsUBX0aQXet9fkPRbe6-7_su6Dn-XBZs5PfjX5u_cnFoXCXMmat8tv6ruKgGAsDOsh-jJ1g1tOtGEF7hl7P0KTidabEsf3HVsFxPjhQ/s72-c/programu+10+kali.png
WaiTech IT Solutions
https://waitechs.blogspot.com/2016/10/programs-10-kali-za-kutengeneza-video.html
https://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/programs-10-kali-za-kutengeneza-video.html
true
6135567013369675355
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy