Jifunze Jinsi ya Kutengeneza Android Application

Android ni mfumo (operating system) ambao ni maarafu sana kwa kuwa umefanikiwa kutumiwa kwenye vyombo vya kielectroniki kama simu, saa, t...



Android ni mfumo (operating system) ambao ni maarafu sana kwa kuwa umefanikiwa kutumiwa kwenye vyombo vya kielectroniki kama simu, saa, tv, laptops, tablet na hata kwenye magari ya kisasa pia utakuta android.

Hii ina maanisha kama wewe una ndoto za kuwa android developer basi hujakosea kufanya maamuzi maana android ni mfumo ambao unatumiwa ulimwenguni kote na una endelea kukua kwa kasi kubwa na kutapakaa kwenye vitu vingi vya kielectroniki.

Ili kuweza kutengeneza Android app basi unapaswa kujua Java pamoja na XML(Extensible Markup Language). Wengi wetu tukishasikia tu Java basi tunakata tamaa. Lakini hutakiwi kuogopa maana Google wanajaribu kila siku kurahisisha utengenezaji wa android app. Pia Google wana website inayo toa mafunzo jinsi ya kutengeneza android app pamoja na mifano mingi ambayo itakusaidia wewe kuweza kutengeneza app yako. Unaweza tembelea hiyo website kwa kutumia link chini
https://developer.android.com/index.html




Leo tutaangalia mambo yanayoitajika ili kuweza kutengeneza android apps.

Computer

Ili uweze kutengeneza android app unaitaji computer ambayo ina uwezo au sifa zifuatazo.



Kwa leo tutaishia hapa, muda mwingine tutajifunza jinsi ya ku-install Android Studio kwenye computer yako na utaanza kujifunza jinsi ya kuanza kutumia Android studio ili uweze kutengeneza android application.


Kama umependa kazi zetu na unataka tuzidi kusonga mbele basi usiache kutu like facebook page yetu  yenye jina la JaBi Technologies

COMMENTS

Name

COMPUTER TIPS,8,IT Darasa,1,Makala,1,Maujanja ya Simu,22,Teknolojia,4,
ltr
item
WaiTech IT Solutions: Jifunze Jinsi ya Kutengeneza Android Application
Jifunze Jinsi ya Kutengeneza Android Application
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJzdFzqnHsQ2yLSM4vNLKHUs9fXSMMJVyHZFzkH7KRjctyc4m7dLzAvzFhxBxWonJ3QewqflUAb4P_G5VV1g1kkme8RZGqQfnEuLJ8dwb1qVsVG8JkbTy4GnqHExp0rXa46B5coXaWnEgm/s640/developer1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJzdFzqnHsQ2yLSM4vNLKHUs9fXSMMJVyHZFzkH7KRjctyc4m7dLzAvzFhxBxWonJ3QewqflUAb4P_G5VV1g1kkme8RZGqQfnEuLJ8dwb1qVsVG8JkbTy4GnqHExp0rXa46B5coXaWnEgm/s72-c/developer1.JPG
WaiTech IT Solutions
https://waitechs.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-kutengeneza-android-application.html
https://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-kutengeneza-android-application.html
true
6135567013369675355
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy