Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Picha Na Video Zisionekane Kwenye Gallery Ya Simu Yako

Siku chache zilizopita tuliona ujanja ambao utakuwezesha kufanya picha unazotumiwa kwenye whatsapp zisitokee kwenye Gallery. Leo tut...



Siku chache zilizopita tuliona ujanja ambao utakuwezesha kufanya picha unazotumiwa kwenye whatsapp zisitokee kwenye Gallery. Leo tutaona jinsi ya kuzuia folder lolote lenye picha na video lisiweze kuonekana kwenye gallery.

Hii ni njia nzuri sana kuwakomesha wale watu wanaopenda kuangia kwenye gallery na kuanza kuangalia picha zako bila ridhaa yako. Muda mwingine hata wazazi hupenda kushika simu na kuanza kuangalia picha kwenye gallery na muda mwingine unakuta una video na picha zenye utata na hupendi mzazi wako azione. Sasa njia ipo ya kuzuia hayo mambo kama hayo yasikupate


JINSI YA KUZUIA BAADHI YA PICHA NA VIDEO ZISIONEKANE KWENYE GALLERY

STEP 1

Download Es Explorer kutoka kwenye play store au tumia link chini kuweza ku download
http://www.apkmirror.com/wp-content/themes/APKMirror/download.php?id=53753

STEP 2

Fungua Es file Explorer app kisha tengeneza folder halafu nenda kaamishe picha zako zote pamoja na video ambazo hupendi mtu yeyote azione pale anapofungua gallery yako

STEP 3

Baada ya kuamisha picha na video zote, fungua tena hilo folder ulilotengeza kwa kutumia Es File Explorer kisha bonyeza vidoti vitatu juu kulia kama picha chini inavyo onekana


STEP 4

Bonyeza kipengele kinachosema New kisha bonyeza kipengele kinachosema file na kisha andika hili neno .nomedia kama picha inavyo onekana chini halafu bonyeza ok.



Nenda kwenye gallery yako na utagundua picha na zile video ulizoamisha hazipo na hazionekani kwenye gallery.


Mpaka hapo tumefikia mwisho wa maelekezo. Kama unataka kuwasiliana nasi kuhusiana na tatizo lolote kwenye simu yako ya andorid basi wasiliana nasi kwa kutumia WhatsApp namba +255 713 515 059. Pia unaweza ku-like Facebook Page yetu iitwayo JaBi Technologies

COMMENTS

Name

COMPUTER TIPS,8,IT Darasa,1,Makala,1,Maujanja ya Simu,22,Teknolojia,4,
ltr
item
WaiTech IT Solutions: Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Picha Na Video Zisionekane Kwenye Gallery Ya Simu Yako
Jinsi Ya Kuzuia Baadhi Ya Picha Na Video Zisionekane Kwenye Gallery Ya Simu Yako
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwUbj7O5HK8A03gICpPMnHEAjXx60mEwb1NIYFlZxVGvHK0KzBEI4obr1NSvR-aa2YVtmoLMPvCIISO7MSePrNhB4c9QRUw223YCC3jCXner9qCK3Fw5vFMrV_fSmEj1S0-F2MLqCiwUA/s1600/PICHA4.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwUbj7O5HK8A03gICpPMnHEAjXx60mEwb1NIYFlZxVGvHK0KzBEI4obr1NSvR-aa2YVtmoLMPvCIISO7MSePrNhB4c9QRUw223YCC3jCXner9qCK3Fw5vFMrV_fSmEj1S0-F2MLqCiwUA/s72-c/PICHA4.png
WaiTech IT Solutions
https://waitechs.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-kuzuia-baadhi-ya-picha-na.html
https://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-kuzuia-baadhi-ya-picha-na.html
true
6135567013369675355
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy