USB Debugging ni nini? Fahamu moja ya settings muhimu zaidi katika mfumo wa Android

USB Debugging kama inavyosomeka katika sehemu ya settings (mipangilio) ya mfumo endeshi wa android inaonekana kama kitu kigumu sana kwa ...

androidpit-usb-smartphone
USB Debugging kama inavyosomeka katika sehemu ya settings (mipangilio) ya mfumo endeshi wa android inaonekana kama kitu kigumu sana kwa baadhi ya watumiaji wa simu za mfumo endeshi huu. Hapana, USB Debugging ni rafiki yako wa karibu na unapaswa kumtumia pale unapolazimika.
Kwa kifupi USB Debugging ni njia inayoruhusu simu yako ya android kuweza kuhamisha mafaili kati yake na kompyuta. Kwa maana ya kitaalamu zaidi, USB Debugging ni njia ya kutest (kujaribu) au kugundua bugs (mapungufu) katika application za android inayotumiw zaidi na madeveloper wa applications mbalimbali za mfumo endeshi huu.
Mara nyingi USB Debugging hutumika katika kujaribu software mbalimbali zilizotengenezwa na Android Studio, hapa madeveloper  watakuwa wanaelewa zaidi. Kuinstall Custom ROM, Kuroot au hata kubadilisha baadhi ya vitu katika software.

Jinsi ya kuwasha (Enable) USB Debugging

Kufungua USB Debugging, inakupasa kufungua kuruhusu ‘Developers Options’ katika simu yako kwa sababu katika matoleo ya sasa huduma hii huwa inafichwa. Fuata hatua zifuatazo kufanya hivyo;

1. Fungua sehemu ya settings kwenye simu yako,  shusha chini mpaka katika sehemu iliyoandikwa About Phone.

2. Baada ya kufungua About Phone, shuka mpaka chini kwenye sehemu iliyondikwa ‘Build Number, bonyeza mara saba hapo ili kufungua developers options. Baada ya kubonyeza mara saba utakuja ujumbe utakaokupa tahadhari kuwa unaelekea kufungua developers options.

3. Baada ya hapo rudi nyuma kwenye menu yako ya settings na utaona Developers Options ipo katika settings, ifungue na anza kushusha chini kuitafuta USB Debugging na iruhusu.

Kwa watumiaji wa matoleo ya chini ya Android 2.3 wanaweza kufungua moja kwa moja deveopers options kwa sababu inakuwa haijafungwa na wataweza kuona hii setting ya usb debugging.
Sasa unaweza kuenjoy simu yako zaidi. Usisahau kulike page yetu ya Facebook,Ku like   "Click hapa".

COMMENTS

Name

COMPUTER TIPS,8,IT Darasa,1,Makala,1,Maujanja ya Simu,22,Teknolojia,4,
ltr
item
WaiTech IT Solutions: USB Debugging ni nini? Fahamu moja ya settings muhimu zaidi katika mfumo wa Android
USB Debugging ni nini? Fahamu moja ya settings muhimu zaidi katika mfumo wa Android
https://i0.wp.com/www.swahilitech.com/wp-content/uploads/2016/09/androidpit-usb-smartphone.jpg?resize=782%2C440
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgm44hr5b7T4YIj6IfOwOAn4ffE3zFjSFoLArMHe5s-AALFF-58vRthDBoDFeDhwiEaN2hT-r8Vy9f27aC9IQ5vTgYVWsVx4lYjYIsu5yrYe02FHMzE7X47H3y8wFIIOeGMYh68atQPs1s/s72-c/enable-USB-debugging-on-Samsung2.png
WaiTech IT Solutions
https://waitechs.blogspot.com/2016/12/usb-debugging-ni-nini-hasa-fahamu-moja.html
https://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/2016/12/usb-debugging-ni-nini-hasa-fahamu-moja.html
true
6135567013369675355
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy