Programu (Apps) Za Kuinstall Katika Android Smartphone Yako Mpya.

Hello! Hongera kwa kumiliki Android Smartphone. Ni simu nzuri ambazo zinakuwezesha wewe kuzitumia vyovyote vile utakavyo na zikiwa zi...




Hello!

Hongera kwa kumiliki Android Smartphone. Ni simu nzuri ambazo zinakuwezesha wewe kuzitumia vyovyote vile utakavyo na zikiwa zimejaaliwa uwezo mkubwa wa kuongeza mambo unayoyahitaji wewe. Leo JaBi Technologies tunakuletea Apps muhimu unazopaswa ku-install katika simu yako.

Kwanza kabisa ningependa kukukumbusha kwamba ili uweze kuinstall apps hizi utahitaji kuwa na Google AppStore (Play Store)katika simu yako. Na umeshajiunga nayo, kama haujajiunga ni rahisi, fungua tu account ya Gmail kisha jiunge na Play Store iliyomo katika android yako.

Kwa wale ambao ndio kwanza umenunua smartphones hizi au ulikua nayo na ungependa kuongeza apps au bado unajiuliza ni apps gani za kuweka katika simu yako, leo tutatizama apps 8 muhimu za kuinstall pindi unaponunua smartphone yako ya android (Mfano; TecnoSamsungHuawei).

1. Chrome Beta.




Google Chrome ni browser yenye uwezo mkubwa. Ndiyo browser inayotumiwa zaidi duniani lakini pia ina nguvu na uwezo wa kukuonesha webpages kama zilivyo. Bada
Download hapa Chrome Beta


2. Avast AntiVirus 


Avast ndiyo antivirus bora ya bure mwaka 2014. Avast ina version mbili moja ya bure na nyingine ya kulipia lakini hizi zote zimedhihirisha kuwa za msaada sana kwa watumiaji wake.
Download hapa Avast Antivirus




3. Whatsapp

Hii inakuwezesha kuwasiliana na marafiki kwa njia ya meseji, video, audio na hata mafaili mbalimbali. Inatumiwa na watu wengi pia duniani.
Download hapa Whatsapp





4. Instagram
Huu ni mtandao unaowezesha mawasiliano kwa njia ya picha. Picha ni rahisi kujieleza. Unaweza kuunganishwa na watu maarufu duniani.
Download hapa Instagram



5. Ccleaner

Hii ni app bomba sana. Inasafisha simu yako kwa kutoa mafaili ambayo hauyaoni lakini yanachukua nafasi katika simu yako. Pia hufuta registry files mbovu.
Download hapa Ccleaner.

6. Cabinet Beta



Inakupatia muonekano na mpangilio mzuri wa simu yako. Hukuwezesha kushare mafaili kwa urahisi.
Download hapa Cabinet.





7. Piktures
Inakuwezesha kutizama picha zako katika mpangilio rahisi na wa kuvutia. Android kawaida zinakuwa na gallery lakini app hii ni poa sana.
Download hapa Piktures


8. Mailbox

Inakuwezesha kusoma e-mails na kuzijibu pia kiurahisi kwa kupitia android yako. Ni app muhimu hasa kwa matumizi ya kujibu e-mail za marafiki au wateja wako.
Download hapa Mailbox.



9. IFTTT


Inamaanisha "If This Then That". Hii app ni nzuri sana kwa kukurahisishia mambo mbalimbali. Inaonekana ngumu lakini kazi yake inavutia. Inaweza kuunganisha programu nyingine kwa pamoja. Lakini pia unaweza kuiset juu ya shughuli kadhaa. Kwa mfano unaweza kuiset kwamba endapo (If This) ukimpigia mama simu (Then That) then itume meseji kwa baba ikimsalimia pia. Hivyo inakurahisishia kuwasiliana na wazazi wako kwa wakati mmoja. Huo ni mfano tu.
Download hapa IFTT



Mwisho.

Kwa kendelea kupata habari zaidi kuhusiana na Teknolojia mbalimbali, ungana nasi kwa  ku -like facebook Page yetu JaBi Technologies.

COMMENTS

Name

COMPUTER TIPS,8,IT Darasa,1,Makala,1,Maujanja ya Simu,22,Teknolojia,4,
ltr
item
WaiTech IT Solutions: Programu (Apps) Za Kuinstall Katika Android Smartphone Yako Mpya.
Programu (Apps) Za Kuinstall Katika Android Smartphone Yako Mpya.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWYRhO8etTsJ5kRORJYDkpr4pD_OeubtsTLVnqb4co3FMPZo7dY7vaxbx3YH-AMSgc4YMjyKu5OP-hKKSpb8wiHtfJyyXSkx9Lra2TgDDz_fZhopsEm_9HRVksucgJrNqb9lFmOqDFGA/s640/apps+za+muhimu+5.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWYRhO8etTsJ5kRORJYDkpr4pD_OeubtsTLVnqb4co3FMPZo7dY7vaxbx3YH-AMSgc4YMjyKu5OP-hKKSpb8wiHtfJyyXSkx9Lra2TgDDz_fZhopsEm_9HRVksucgJrNqb9lFmOqDFGA/s72-c/apps+za+muhimu+5.jpg
WaiTech IT Solutions
https://waitechs.blogspot.com/2016/10/programu-apps-za-kuinstall-katika.html
https://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/programu-apps-za-kuinstall-katika.html
true
6135567013369675355
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy