Jinsi Ya Kuweka Nexus Launcher Kwenye Simu Yako Ya Android

Nexus ni simu ambazo zinatengezwa na kusambazwa na Google. Simu hizi huwa zinapewa kipao mbele sana na Google hasa pale android mpya i...

Nexus ni simu ambazo zinatengezwa na kusambazwa na Google. Simu hizi huwa zinapewa kipao mbele sana na Google hasa pale android mpya inapotoka. Simu za nexus hupata updates kutoka google kwa haraka zaidi ukilinganisha na simu nyingine

Ndani ya simu za Nexus huwa zina launcher kama ilivyo kwenye simu nyingine. Siku chache Launcher mpya ambayo google wanatarajia kuiweka kwenye simu mpya ya nexus imevuja kwenye mitandao. Kizuri zaidi hiyo launcher unaweza kuijaribu kwenye simu yako ya android.


JINSI YA KUWEKA NEXUS LAUNCHER KWENYE SIMU YAKO YA ANDROID

STEP 1

Download Nexus launcher kwa kupitia link chini
https://www.androidfilehost.com/?fid=24588232905722237

STEP 2

Baada ya kumaliza ku-download liweke hilo file kwenye memory card yako kisha washa simu yako kwenye custom recovery kisha install zip halafu chagua hilo file uliloweka kwenye memory card.

STEP 3

Kwa wale ambao hawana custom recovery, unachotakiwa kufanya ni kulifungua hilo file ulilo download kisha install hiyo app kawaida. Endapo utatumia hii njia basi launcher yako itakosa alama ya G iliyopo juu kushoto kama inavyo onekana kwenye picha chini



Uzuri ulipo katika hii launcher ni kwamba ina uwezo wa kugeuka kufwatana na display yako ulivyo iweka. Kama inavyo onekana kwenye picha chini



Kama umependa kazi zetu na unataka tuzidi kusonga mbele basi usiache kutu like facebook page yetu  yenye jina la JaBi Technologies

COMMENTS

Name

COMPUTER TIPS,8,IT Darasa,1,Makala,1,Maujanja ya Simu,22,Teknolojia,4,
ltr
item
WaiTech IT Solutions: Jinsi Ya Kuweka Nexus Launcher Kwenye Simu Yako Ya Android
Jinsi Ya Kuweka Nexus Launcher Kwenye Simu Yako Ya Android
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi54mWJZHhD5RHOwpOFo9kHjPySRfhNkPtBpkJvHEIbMjNJOE5DUmDN0QT1i_2YWfj8BJOYe2gNEYBlZeMUuOdQflAQCU_NUizMCCxUoZYI6zlefZZznWLksLEhgi3HyMLR3wMoVb-igzpl/s640/Screenshot_20160810-133246.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi54mWJZHhD5RHOwpOFo9kHjPySRfhNkPtBpkJvHEIbMjNJOE5DUmDN0QT1i_2YWfj8BJOYe2gNEYBlZeMUuOdQflAQCU_NUizMCCxUoZYI6zlefZZznWLksLEhgi3HyMLR3wMoVb-igzpl/s72-c/Screenshot_20160810-133246.jpg
WaiTech IT Solutions
https://waitechs.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-kuweka-nexus-launcher-kwenye.html
https://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/
http://waitechs.blogspot.com/2016/10/jinsi-ya-kuweka-nexus-launcher-kwenye.html
true
6135567013369675355
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy